Home / Kilimanjaro trekking routes

Kilimanjaro trekking routes


Kilimanjaro
Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko yote Africa
Mlima Kilimanjaro una vilele vitatu vinavyojulikana kwa majina kama Shira, Mawenzi na Kibo. Kibo ndo kilele kirefu kuliko vyote ambapo kibo ndo hufanya mlima kilimanjaro kuwa na urefu wa mita 5895. Kwa sababu kilimanjaro ndo mlima mrefu kuliko yote africa, ndipo watu wakauita huu mlima roof of Africa yaani Paa la Africa. Kilele cha Kibo kimefunikwa na theluji kwa mwaka mzima japokuwa ipo karibu na Ikweta na pia katika nchi za Joto.


Mlima Kilimanjaro ulifanyika zaidi ya miaka 1000 huko nyumba kwa sababu ya Volcano. Baadae uso wa dunia uliendelea kubadilika na kumomonyoa miamba ya volcano hadi kufanyika udongo wenye rutuba katika miteremko ya mlima kIlimanjaro. Ndio sababu mimea ilistawi sana mfano msitu mnene wa asili. Watu wa kabila la kichagga wakavutiwa kusogea na kulima mazao ya chakula na biashara kama ndizi, mahindi, kahawa nakadhalika. Pia katika msitu wa mlima kilimanjaro kuna ndege na wanyama mwitu wengi kama tembo, swala, nyati na wengineo.

Watalii wengi kutoka bara la ulaya, marekani, america, canada, japan na urusi walivutiwa kuja kutembelea Tanzania na kupanda mlima Kilimanjaro. Watalii hupanda mlima kilimanjaro kupitia njia za asili zilizobuniwa kufikisha watalii mpaka juu katika kilele cha mlima kilimanjaro. Njia hizi za asili ni rahisi na zina usalama wa hali ya juu. Njia zipo kama Machame, rongai, marangu, lemosho na umbwe. Mgeni anapaswa kuchagua njia kulingana na maelezo ya uzuri ama urahisi wa kupanda.

Njia ya machame inapendekezwa zaidi kwa sababu ina mandhari nzuri, inavutia kutazama, haina msongamano wa watalii, ina mafanikio mengi kufika kileleni.

Machame route inahitaji kuanzia siku 6 kupanda mlima kilimanjaro mpaka juu kabisa. Watalii wanaweza kuongeza siku kwa ajili ya acclimatization na mafanikio zaidi.

Pia bei za kupanda mlima kilimanjaro ni rahisi na huduma ni bora. Chagua machame route ufurahie safari yako ya kupanda mlima Kilimanjaro.


Online booking, email us: info@kili-tanzanitesafaris.com

-------------------------------------------------------------------------------------------------ENGLISH VERSION BELOW

Kilimanjaro
Mount Kilimanjaro is Africa's longest
Mount Kilimanjaro has three peaks known by names such as Shira, Mawenzi and Kibo. Kibo peak membrane meal where Kibo Kilimanjaro membrane performs a height of 5895 meters. Because membrane Mount Kilimanjaro longest africa, then they call this mountain the Roof of Africa roof of Africa. Kibo peak covered with snow throughout the year, although nowhere near the equator and in the heat.

Mount Kilimanjaro took place over 1000 years in the past because of the Volcano. Subsequent surface world continues to change and erodes rocks of volcanos to be fertile soil on the slopes of Mount Kilimanjaro. That's why for example plants flourished dense natural forest. The Chagga peoples were attracted to move to cultivate food and cash crops like bananas, corn, coffee and so on. Also in the forest of Mount Kilimanjaro there are many birds and wild animals like elephants, deer, buffalo and others.

Most tourists from Europe, America, america, canada, japan and Russia were interested in coming to visit Tanzania to climb Mount Kilimanjaro. Tourists ascend Mount Kilimanjaro through natural means designed to convey tourists on the summit of Mount Kilimanjaro. These natural ways are simple and have the highest safety standards. Ways exist as Machame, Rongai, Marangu, Umbwe lemosho with. Visitor should choose the method according to the description of beauty or convenience of the plant.

Through Machame most recommended because it has beautiful scenery, interesting to watch, no congestion of tourists, has many achievements to reach the top.

Machame route requires from 6 days to climb Mount Kilimanjaro, the highest. Tourists can add a day for acclimatization and more successful.

Also prices climb Mount Kilimanjaro is easy and the service is excellent. Select Machame route enjoy your trip to climb Mount Kilimanjaro. Sports Adventure specialists in Tanzania include trekking, rock climbing and walking safaris. Sports adventure destination is Mount Kilimanjaro,Usambara Mountains, Mount Meru and Ngorongoro highlands.


You can choose any climbing mount kilimanjaro route from machame route, rongai route, lemosho route, marangu route and umbwe.

Feel free to inquire for Kilimanjaro trekking trip in tanzania.

Email: info@kili-tanzanitesafaris.com


    Post a comment

    Your Name or E-mail ID (mandatory)

    Note: Your comment will be published after approval of the owner.




     RSS of this page

    Written by:   Version:   Edited By:   Modified